Habari wana JF. Natafuta mashine ya kukoboa na kusaga inayotumia diesel kwani nataka kupeleka kijijini ambako umeme haupo na watu wanatembea umbali mrefu kwenda kupata huduma hiyo.
Mwenye idea ya hizi mashine naomba msaada ni aina gani ya mashine ndiyo inafaa zaidi ya zingine na bei zinaendaje?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Samahani, hata Dar we weka tu si unaona umeme wenyewe wa mgao!
Sijaona hizo contact ndugu yangu. Naomba niwekee hapa nimeshindwa kufungua hiyo sms
Sijaona hizo contact ndugu yangu. Naomba niwekee hapa samahani kwa usumbufu maana siwezi kufungua ingawa kuna sms ilisema kuna private message
Ahsante nashukuru nitawatrace