Mathayo Christopher JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 413 Reaction score 289 Apr 5, 2014 #1 wakuu najua ndani humu kuna wauzaji au watumiaji wa mashine hizi hivyo wapi naweza kupata kwa hapa daresalamu lengo nikafunge kijijini kwetu
wakuu najua ndani humu kuna wauzaji au watumiaji wa mashine hizi hivyo wapi naweza kupata kwa hapa daresalamu lengo nikafunge kijijini kwetu
Kobe JF-Expert Member Joined Jun 17, 2009 Posts 1,794 Reaction score 812 Apr 5, 2014 #2 Tanganyika machinery ipo pale barabara Nkurumah utapata suluhisho lako. Kuna leaster Peter za diesel japo siku hizi zipo nyingi mpaka mahindra engines toka India ukiacha hizi za mchina. Chaguo ni lako kulingana na uwezo wa mfuko wako mkuu.
Tanganyika machinery ipo pale barabara Nkurumah utapata suluhisho lako. Kuna leaster Peter za diesel japo siku hizi zipo nyingi mpaka mahindra engines toka India ukiacha hizi za mchina. Chaguo ni lako kulingana na uwezo wa mfuko wako mkuu.