Mashine ya kusaga nafaka

Joined
Feb 18, 2013
Posts
47
Reaction score
14
Natanguliza heshima kwa wana jamvi.

Naomba msaada ni kwa namna gani naweza nikapata mashine ya kusagia nafaka (Mahindi na/au Ngano) kwa matumizi ya binadamu. Nimepata wazo la kuanzisha biashara hii kwa kuwa soko lake lipo kila mahali, ila changamoto ni namna ya kupata mshine ambayo itasaga mahindi (kwa mfano) kuwa unga lakini kwa quality nzuri ili kuwa na ushindani katika soko. Pia mashine iweze kuwa na uwezo wa kufunga bidhaa husika katika mifuko maalum tayari kuingia sokoni.

Nyingi kati ya mshine zinazooonekana / patikana madukani ni zile ambazo hazina uwezo wa kusaga kwa kiwango cha kiushindani/kizuri , hivyo naomba msaada kwa anayefahamu wapi naweza pata mashine nzuri ya saizi ya wastani ila za kisasa niweze kuitekeleza idea hii.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…