INAUZWA Mashine ya kusagia karanga

Algeciras

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
349
Reaction score
330
Nauza machine ya kusagia Karanga pamoja na vitu vikavu
Ina watts 3000
Inaweza kusaga mpaka gram 700 kwa wakati mmoja.
Ni brand new
520,000/ tu
0713662655
 
Mkuu haipo ya kuweza kasaga zaidi ya kilo5 kwa wakati mmoja?

Tuyaache kama yalivyo
 
Mkuu haipo ya kuweza kasaga zaidi ya kilo5 kwa wakati mmoja?

Tuyaache kama yalivyo
Hapana sina hio mkuu,
Iko hii na ndogo yake
Hii ina saga mpaka gram 700 kwa mda mmoja.
Rpm 34000.
 
Unga wa karanga unatumika wapi na vipi?
 
Hii machine inasaga vitu vyovyote vikavu Kama tangawizi,spices nk.
Unga wa karanga unatumika kwenye uji nk.
Hebu pigs picha Katanga zilizosagwa na hiyo mashine ,maana ninahitaji ile ya kusaga karanga na kuwa laini sana kama poda
 
Hebu pigs picha Katanga zilizosagwa na hiyo mashine ,maana ninahitaji ile ya kusaga karanga na kuwa laini sana kama poda
Hapana sina picha hizo mimi ni muuzaji tu,hizi zinasaga laini kama poda.
 
Mashine ya kusagia vitu vikavu
200G
230,000
0713662655.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…