Uchaguzi 2020 Mashine ya Kusini, Maftaha Nachuma akabidhiwa fomu ya uteuzi wa Ubunge jimbo la Mtwara Mjini

Uchaguzi 2020 Mashine ya Kusini, Maftaha Nachuma akabidhiwa fomu ya uteuzi wa Ubunge jimbo la Mtwara Mjini

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200819-122521.png


HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la mtwara mjini kupitia CUF, mhe. Maftaha nachuma amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Mtwara Mjini
 
Hizo si habari tena. CUF ilishakufa inasubiri kuzikwa tarehe 28/10-2020.

Msikilize aliyekuwa mbunge wa Tandaimba(aliyetimkia CCM) akihojiwa mtandaoni.
 
Hayo ni matusi kwa wananchi na wapiga kura wa mtwara mjini. Jimbo lipo wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom