CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Aug 19, 2020 #1 HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la mtwara mjini kupitia CUF, mhe. Maftaha nachuma amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Mtwara Mjini
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la mtwara mjini kupitia CUF, mhe. Maftaha nachuma amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Mtwara Mjini
Z Zawadi Ngoda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 4,175 Reaction score 2,294 Aug 19, 2020 #2 Hizo si habari tena. CUF ilishakufa inasubiri kuzikwa tarehe 28/10-2020. Msikilize aliyekuwa mbunge wa Tandaimba(aliyetimkia CCM) akihojiwa mtandaoni.
Hizo si habari tena. CUF ilishakufa inasubiri kuzikwa tarehe 28/10-2020. Msikilize aliyekuwa mbunge wa Tandaimba(aliyetimkia CCM) akihojiwa mtandaoni.
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Aug 19, 2020 #3 Hahaha mashine ya kuchakata pumba?!
M mahwelu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2013 Posts 322 Reaction score 253 Aug 19, 2020 #4 Hayo ni matusi kwa wananchi na wapiga kura wa mtwara mjini. Jimbo lipo wazi kabisa.
LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,755 Reaction score 9,889 Aug 19, 2020 #5 cuf ilikuwa inatisha,lipumba kaibomoa kutoka ngangari hadi kuwa ngingiri