Sawa ndugu inategemea na hali sijui ilikuwa na hali gani ya kwakoSawa, yangu nimeuza 200,000
Huyu jamaa atakuwa n dalali tu aiseeLaki tatu si bei ya mpya kabisa?
Acha ujinga mkuu.. Hiyo laki3 n bei ya mpya tena mliman city.. Punguza bei upate mteja..Habari za muda huu. Maana jamii. Kama tangazo linavyosema nina machine ya kutengeneza bisi (porpcorn machine) naiuza bei laki 3 Machine inatumia umeme ipo Lushoto bado ipo vizuri. Nimeona niiuze baada ya kupata kazi nyingine na sina muda wa kufanya nayo kazi tena. Karibuni
Acha ujinga mkuu.. Hiyo laki3 n bei ya mpya tena mliman city.. Punguza bei upate mteja..
[/QUOTE
Nielimishe mkuu bei ya kijanja ni ipi. Bei ya mpya ninayo mimi na risiti yake ninayo utaona siyo hiyo ninayouzia. Kama mpya ni laki 3 huko mlimani city sikupingi inawezekana unafaham mashine yoyote ya bisi mpya ni laki 3. Kama unaihitaji karibu tuongee bei ya punguzo.
Npe discount sas mkuu
Tuwasiliane pmNpe discount sas mkuu
Hahaha mimi sio dalali nauza mashine yangu mwenyewe. Kiufupi nilinunua hiyo nikiwa na lengo la kuanzia maisha ya kitaa baada ya kumaliza chuo. Mungu amesaidia nimepata kazi baada ya kumaliza chuo hivyo sitakuwa na muda nayo. Mashine ipo katika hali ya upya boks lake na sisiti ninayo. Useme una bei gani nione kama itafaa uchukueHuyu jamaa atakuwa n dalali tu aisee
Mkuu picha Sina hapa. Mashine nimeiacha nilipokuwa lushoto kwa sasa nipo mkoa mwingine kituo cha kazi. Kama upo huko naweza kukuelekeza kwenda kuiona kanza ndio tuongee biashara.Tuone PICHA YAKE...