Mashine ya kutengeneza chaki za shuleni inauzwa 35mil

KIJANI

Senior Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
138
Reaction score
26


DESCRIPTIONS:
Ina Blocks 6 za Kutengeneza Chaki kila Block ina Matundu 800 (6 Moulds);

Ni Semi-Automatic (Ina Motor ya kufanya Mixing ya Raw materials pamoja na Maji Automatically;

Ina OVEN KUBWA ya Kukausha CHAKI baada ya kutoa kwenye Block/Moulds

Eneo ziliposimikwa Mashine limekodishwa hivyo unaweza kuendelea kulipia kodi ama kuhamisha mashine zako;

KWA MAELEZO ZAIDI,
CONTACT: 0767 235923.
 
Mkuu kwanini unauza kiwanda? Huku siyo kumkwamisha mh wetu kuhusu viwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…