Mashine ya kutengeneza chaki

Mashine ya kutengeneza chaki

PIUS M JUSTUS

New Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
2
Reaction score
3
Zipo aina kadhaa za kutengeneza CHAKI kulingana na uwezo wa mtu binafsi.

Kwa kijana mjasiriamali unaweza kuanza na mashine ndogo na baadae ukishakuza mtaji unaweza kutafuta mashine kubwa zaidi.

Mradi wa chaki ni mradi mzuri sana ambao watu wengi hawajastukia kabisa, so ni fursa ambayo haina ushindani mkubwa sana.

Ukitaka kujua hili jaribu kufanya utafiti wilaya uliyopo kama kuna kiwanda chochote kiachozalisha bidhaa hii ya chaki🤷

Nina imani hutaona kiwanda chochote cha chaki, na wilaya ina shule nyingi sana ambazo ni soko lako kama utaweza kuwekeza katika hili.

Kama unapenda kufanya mradi huu, basi usihofu kuhusu jinsi ya kupata mashine hiyo, PJ PROJECTS tunakuletea mashine kuanzia ndogo mpaka kubwa.
Mashine hizo ni kama ifuatavyo;
  1. Mashine ya matundu 100, ina uwezo wa kuzalisha pc 10,000 sawa na box 100 za chaki kwa siku. BEI ya mashine hii ni 400,000/-
  2. Mashine ya matundu 200, ina uwezo wa kuzalisha pc 20,000 kwa siku sawa na box 200 za chaki kwa siku. BEI ya mashine hii ni 800,000/-
  3. Mashine ya matundu 400 ina uwezo wa kuzalisha pc 48,000 mpaka 50,000 kwa siku sawa na box 480 hadi 500 za chaki kwa siku. BEI ya mashine hii ni 3,600,000/-
Kama unahitaji kujua zaidi unaweza kupata kitabu chetu kinachoelezea jinsi ya kuanzisha mradi huu mwanzo mpaka mwisho.

Kitabu hiki kipo kwenye mfumo wa softcopy utatumiwa kwa Email au Whatsapp kwa gharama ya Tsh. 10,000/- tu
Wasiliana nasi sasa WHATSAPP 0754745798 au 0659908078

Unaweza pia kutembelea channel yetu ya Youtube uweze kujifunza zaidi.

MASHINE YA MATUNDU 100👇

0001-4420321237_20210716_203351_0000.png


MASHINE YA MATUNDU 200👇
0001-4420408492_20210716_203553_0000.png
 
Vipi kuhusu material ya uzalishaji na pia vifungashio? Mnatoa pia msaada wa kimawazo kwa wanunuzi wenu?
 
Nataka kununua mashine ya kutengeneza chalk. Mould moja inayotoa PC 100 za chalk. Tafadhali nipe utaratibu namna ya kilipa. Na mashine naipataje? Mm naishi kahama shinyanga. Natanguliza shukurani.
 
Jamani nataka kununua mashine ya kutengeneza chalk nipe utaratibu namna ya kulipa na mashine nataka kujua inapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom