Mhga Kombe
Member
- Mar 14, 2021
- 10
- 4
Asante krg1.vertical feed mixture inaweza kukusaidia zaidi inatumia motor ndogo na umeme pia
Mamesho,Mkuu unafuga kuku wangapi?
Kuhusu malighafi useme ni aina gani ya malighafi unahitaji.
Useme unafuga kuku wa aina gani. Wa kienyeji, kisasa, mayai, nyama au chotara
Hao wote wana mahitaji tofauti