Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
Kwa maelezo zaidi 0758 308193
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo zaidi 0758 308193
Mkuu,
Hii mashine si ya kwako nini?
Naona kama umefukuzwa hivi yaani post haina mvuto. Weka hata Picha basi! Mbona wanaouza bidhaa zao humu kama magari n.k huwa wanaweka picha na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuweka hata initial price. Linapokuja suala la bargaining ndo ku-PM au simu zinaanzia hapo.
Funguka mkuu.

Mashine hii inauwezo wa kutengeneza gunia kubwa 2 -4 kwa siku kutegemeana na spidi ya mkono wako. Inauzwa sh 136000 na imetumika kwa miezi 3 tu. Iko makongo juu ukitaka kuiona. Ukinunua nakupa mafunzo ya kutengeneza mkaa bure.
Kama utakuwa unauza gunia zako kwa sh 30000 basi na ukatengeneza gunia 3 kwa Siku basi utakuwa unaingiza sh 90000 kwa Sikh na hela yako ya mashine itarudi baada ya siku 2 tu
Picha very soon

We Biashara2000 siku zote upo kibiashara zaidi hata kwa visivyouzika. Mashine umeitumiaa ilipochoka ndo unatuuzia sisi!

Atleast sasa angalau tupate pa kuanzia. Nangoja picha miye.