Mashine ya Kutengeneza Napkins na Toilet papers

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
1,152
Reaction score
343
Habari zenu, Nilikuwa Nahitaji kufanya investment ya kiwanda kidogo cha kutengeneza Toilet Papers pamoja na Napkins.

Naomba mnisaidie mahali ninapoweza kupata mashine za kutengenezea hizi bidhaa hasa kama zinapatikana Tanzania ama Kenya ama sehemu yoyote.

Nashukuru, Hata kwa mwenye ushauri ntashukuru pia.


Mungu awabariki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…