Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India au china.
-Na je unataka semi automatic au full automatic.
-Pia unataka uzalishe box ngapi kwa siku.
Nijibu hayo nikupe suggestions nzuri.
Ingawa unaweza nunua flatbed cutting plotter pamoja na screen printing machine ambayo ni automatic single au double station.
Kwamaana ya unakata kwa flatbed then una print kwa screen.
Kila la kheri.
Mtaji wako tu, kumbuka hicho ni kiwanda inabidi ujipange.Kwa kweli mimi sina uzoefu wowote kuhusu hizo mashine ndio mwanzo naanza ulizia. Mimi ni mtu wakutengeneza stika kwenye vichupa, wateja wangu wengi wamekua wakinishauri nitafute hiyo kitu kwa kua wanapata tabu sana.
Kwa maana nahitaji maelezo ya kina kwa anaefahamu hizo mashine na matumizi yake
Uko wapi, mimi natengeneza box nipo mbeya.Kwa kweli mimi sina uzoefu wowote kuhusu hizo mashine ndio mwanzo naanza ulizia. Mimi ni mtu wakutengeneza stika kwenye vichupa, wateja wangu wengi wamekua wakinishauri nitafute hiyo kitu kwa kua wanapata tabu sana.
Kwa maana nahitaji maelezo ya kina kwa anaefahamu hizo mashine na matumizi yake
Nicheck pm nikupe aina ya mashine kwa kiwanda cha kidogo.Kwa kweli mimi sina uzoefu wowote kuhusu hizo mashine ndio mwanzo naanza ulizia. Mimi ni mtu wakutengeneza stika kwenye vichupa, wateja wangu wengi wamekua wakinishauri nitafute hiyo kitu kwa kua wanapata tabu sana.
Kwa maana nahitaji maelezo ya kina kwa anaefahamu hizo mashine na matumizi yake