Mashine ya kutoa pellet za hivi ni shi ngapi?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Kwa wapenda kilimo!!

Naona youtube mashine hizi nyingi nyingi sana!!
Je kama hizi ndogo ndogo kwa bongo zinauzwaje??


 
Huko alibaba mashine nyingi ni bei rahisi jaribu kuulizia huko kwakufany utafiti wa wauzaji tofauti tofauti, na kuwasiliana na wakala then unafanya manunuzi

Hapa pia utapata maarifa mengi kwa watu tofauti
 
gharama za ushulu zikoje kiongozi
Ukipata supplies wanakupa bei na uzito wa mzigo alafu unakuja kuchat na silent ocean unawapa uzito au ukubwa wa mzigo wanakupa bei yao pamoja na ushuru, inabaki wewe kuchukua mzigo kwenye warehouse zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…