INAUZWA Mashine ya kutotoreshea vifaranga

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
-Ujazo mayai 90
-Inageuza mayai
-ina ratibu mvuke
-Inaratibu joto
-Matumizi ya umeme hadi kutotoa wastani wa UNIT 25 (Tsh 12000/-)
-Material Chuma + Plastik ngumu (inaangaza ndani).
-Ina uzito wa Kg 6,bila mayai

-Wastani wa utotoreshaji kwa mayai yalio Bora ni 80%
-Kipimo Cha kusomea kiasi cha joto kimewekwa.
-Matengenezo kwa oda (Muda siku Tatu za kazi)

Bei Tsh 200,000/-
Mawasiliano 0629068815
Dar es Salaam mtaa wa Lindi.

 
Mkuu nimekukubali na nimefurahia kukutana na uzi wako maana Soon nahitaji nianze ufugaji wa kuku ,nadhani hitaji moja wapo ni kuwa na hii mashine VERY SOON NAKUCHEK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…