Mashine ya kuuzia maji

khalifa awe

Senior Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
147
Reaction score
31
Naomba kujua namna ya kupata hizi Mashine za kuuzia maji wanayouza kwa Lita sh.200/- na ni bei gani na wapi napata?

NB: Nahitaji mpya dukani.
 
Nami nazisaka, nilijaribu kupiga picha sehemu, nilijaribu kumdodosa jamaa akagoma kunipa maelekezo.

Kwenye picha hii inazalisha lita 500, hakunipa maelezo zaidi ya hayo, sijui alihisi nataka nifungue karibu na kijiwe chake 🤔
 

Attachments

  • IMG_20221128_134020.jpg
    997.9 KB · Views: 42
Huo ni mradi wa Professor mmoja tupo chuo cha Nelson Mandela Arusha. Jaribu kutafuta mawasiliano yake. Sijajua kama hizo mashine anauza au anafanyaje na anayeiendesha/simamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…