Baraka Rabson
Member
- Sep 9, 2014
- 64
- 16
Maelezo yapo ya Kutosha mkuu..pia na namba ya simu ipo kwa mteja aliyetayari kuja kuikagua.Weka full mzee. Hafu mbona bei kali sana. Hafu na brand name na more specifications
Mtu atoke Morogoro aje kukagua mashine Dar,alafu afike hapo kwa kuiona tu aseme haimfai apande gari arudi Moro.Ndio hiko unachotaka mtoa mada? Weka picha zq kutosha.Maelezo yapo ya Kutosha mkuu..pia na namba ya simu ipo kwa mteja aliyetayari kuja kuikagua.
Nimerudia kupost picha zaidi ya mara tatu..ila bado inaonyesha moja tu.Mtu atoke Morogoro aje kukagua mashine Dar,alafu afike hapo kwa kuiona tu aseme haimfai apande gari arudi Moro.Ndio hiko unachotaka mtoa mada? Weka picha zq kutosha.
Hii hapa picha nyingineNimerudia kupost picha zaidi ya mara tatu..ila bado inaonyesha moja tu.View attachment 2602175View attachment 2602174