Mashine ya mchina inanifilisi

He! Hata guest house? Unalako jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sheria zake hazifuatwi mkuu, mwisho wa siku zinageuka maficho ya wahuni, sehem za mauaji, vituo vya kufanyia uzinzi, ubakaji nk.
Guest niliyowahi kuikubali ni moja tu. Ilikuwa ni iringa mhudum akadai cheti cha ndoa nikawa sina maana sijaoa, akagoma kunipa nafasi kuwa ndio sheria zinavyotaka.
 
Hata wewe unaweza weka masharti kwenye gesti yako. Halafu ukiwa single hawadai cheti cha ndoa itakua ulikua unaingia na demu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza sio takataka, ni kamari, pili ni akili zako zinazoenda kucheza so usilalamike sana, km unataka usilichezee basi we lifunge waambie wachina wasepe nalo, or else acha utoto piga kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonanza ni zaidi ya addiction, nikipiga hesabu mpk sasa nshaliwa milioni 2 na ushee, afu unaona kma vile mia mbili mbili ni hela ndogo kuja kushtuka ushapoteza elfu hamsini!
 
Kamari imeshika hatamu
 
kazi kulalamika tupe mbinu za kulipata maana kuna machimbo ya uhakika halafu kila tukiuliza tunayapataje hatujibiwi
 
Mi nina mashine kama hio lkn sioni hasara yeyote kimsingi ni usicheze kabisa huo mchezo ndio utaona matunda yake
 
kamari, pombe, mirungi, sigara, uzinzi - vyote vina sifa moja - ADDICTION. Addiction haina huruma na mtumiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…