INAUZWA Mashine ya miwa mpya na ya kisasa zaidi

Sunday17

Member
Joined
Feb 21, 2024
Posts
19
Reaction score
5
Mashine ya kukamua na kuchuja juisi ya miwa inauzwa Ipo Mbeya Mjini popote inatumwa
Bei yake: 1.6 M.
πŸ“žπŸ“ž & Whasap 0757687358

Whasap & call 0757687358
Specification zake
1.size 48*38*78
2 voltage 220/50hz
3. Three crushing rollers
(Stainless)
4. Ipo na 3HP electric motors.
Material yake yote n stainless steel.
5. Uwezo 300kg kwa saa.
 

Attachments

  • IMG_20240221_161554.jpg
    2.7 MB · Views: 25
βœ“Ipo Mbeya popote itatumwa
βœ“3HP electric motor Double phase
βœ“ 300KG kwa saa
βœ“ new model YF L80
βœ“n mpya 0757687358

 
Juice yake itakuwa tamu kweli? Tangawizi, ndimu na passion unawekaje hapo?
 
Kwa kweli motor Ni kubwa.ila kwa voltage ya 240/50hz mashine inafanya kazi swafiii kabisa. Ambao tunatumia site Ni umeme wa vibandani.
 
πŸ“ž0757687358
Only serious buyer
Nipe 1.4M na mongez yapo
3HP electric motor
Umeme wa majumban
Kilo 300 kwa saa

 
Hivi mbeya wanakunywa juice za miwa siku hizi? Dah kipindi nakua mwakaleli nakaa kwenye shina la miwa nachakaza miwa mitatu mizima kwa menoπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…