Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
Nakodisha hii mashine ukafanye kazi popote unapopajua nitakufundisha jinsi ya kuitumia kisha nitakupa ukahangaike nayo unapopajua wewe baada ya sisi wawili kukubaliana,mimi kupajua kwenu/kwako kwa mwenyekiti wako wa mtaaa,nk nk baada ya mimi kujiridhisha na upatikanaji wako basi nitakukabidhi mashine ikiwa coplete na radio ya matangazo kama utaamua kuzunguka mitaani ni wewe tu na radio yako na briefcase yako.
Bei ya kumuwekea mteja protector 1 ni zaidi ya 15,000 ila sikupangii bei mimi nahitaji unipe hesabu ya 10,000 kwa siku tu,nakupa mashine ukajitafutie riziki yako popote pale,hesabu yangu kwa siku ni 10,000 tu sina tama nataka wewe upate namimi nipate.Ikitokea kwa sku umeweka simu 9 = 90000 mimi yangu ni 10,000 tu wala si zaidi nyingine yote yako.
LIQUID KICHUPA kinauzwa 50,000 nitakukabidhi mashine ikiwa na nano liquid vichupa 6 baada ya kuvimaliza gharama ya liquid ni juu yako na wala si yangu,mimi nitahitaji unipe 10,000 kila siku hesabu yangu naihitaji kwasiku nawala sio kwa mwezi au wiki.
Karibuni PM kwa wahitaji.