Mashine yangu haisimami asubuhi

Hivi ni kwa nini mtu akileta mada hata kama yupo serious kuna watu wana comment kwa dharau as if wanataka watu wacheke. Sio kila kitu cha kucheka,kama mtu anaomba msaada and unajua cha kusaidia ni bora ukampa. Nafikiri ndo maana ya JF
 

Ka vipi wakati imesimama ,ifunge POP mpaka asubuhi, wiki tu, utaona matokeo yake
 

Ni asubuhi tu na mengine kama kawa kama dawa - tatizo liko wapi sasa?
Labda useme ufanisi pia umepungua na engine inaweza kuzima kati kati ya safari. Hapo wahi kwa daktari. Anza na daktari mwanamke! Usiulize kwa nini.
 
Pole na tatizo.kuna mambo kadhaa unatakiwa uyaweke wazi ili uweze kushauriwa.(1) umri (2) vyakula unavyopendelea kutumia
Kuna aina mbili za uhanithi ya kwanza ni uhanithi wa muda (temporary impotance) na ya pili ni uhanithi wa kudumu
(permanent impotance) .Kwa maelezo yako huna uhanithi wa kudumu .Kama una umri kati ya miaka 30-40 hayo ni mambo yanatokea labda umeshindwa ku control lishe. wataalam wanasema umri niliotaja hapo juu kasi ya erection yani kudindisha inapungua.Na inaongezeka sana kama umri wa kubalehe kwenye age ya 41-49 hapo kama hujavamiwa na magonjwa yanayopunguza nguvu za kiume k.v diabet ,figo n.k unaweza ongeza mke wa pili teh teh! (Kwa melezo ya kina mtafute Dinahocious.blogsport.com) atakushauri zaidi yangu.Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…