Mashine yangu ya kutotoleshea vifaaranga vya kuku imezima kwenye controll(cumputer) ghafla ila feni inazunguka, nifanyeje?

Mashine yangu ya kutotoleshea vifaaranga vya kuku imezima kwenye controll(cumputer) ghafla ila feni inazunguka, nifanyeje?

muruta kiboko

New Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Ninaomba msaada mashine yangu ya kutotoleshea vifaaranga vya kuku imezima kwenye controll(cumputer) ghafula ila feni inazunguka nifanyeje
 
Umeshaunguza control iyo chief...ya kununua mpya. Mfumo wa umeme wa feni kubwa(Circulation fan) hauingii kwenye control, bali Ile deni ya kupooza na heaters ndizo ziko connected na control. So control ikizima, main fan itaendelea kuzunguka kuhakikisha damage kubwa ya mayai haitikei wakati unatafuta msaada
 
Back
Top Bottom