Eneo nililokua nafanyia kazi,landlord anataka ajenge!Sababu ya kuuza?
Biashara haihitaji mzuka tu, bali ni commitment na malengo. Yawezekana huyo anayesema hivyo kapata mzuka baada ya kumuona mtu anapiga hela kupitia carwash, so usimshangae.Kuna nini umeamua kuacha biashara? Maana kitaa huwa tunadanganyana .. utasikia mtu anasema ' Mi nikipata tu mashine za Car wash nimemaliza mchezo' ...!