Mashine za ceragem zinazo tumia umeme

Mashine za ceragem zinazo tumia umeme

IKISU

Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
64
Reaction score
13
Wana jf naomba kuuliza mashine za ceragem zinazotumia umeme kutibu magonjwa yote kwa kubezi kwenye uti wa mgongo zina effect gani kwani naona zimekuja kwa kasi.

Naomba msaada kujua.
 
Back
Top Bottom