INAUZWA Mashine za incubator zinauzwa

INAUZWA Mashine za incubator zinauzwa

Joined
Nov 6, 2016
Posts
77
Reaction score
271
CAM STORE INCUBATORS - KIATAMISHI
MAYAI 60 / TREY 2

BEI 350,000 TU.

SIFA ZA MASHINE ZETU.

Zinatumia umeme solar na betri.

Zinatumia computer ndogo ambayo hudhibiti kiasi cha joto na unyevu unyevu.

Zinamfumo wa kugeuza mayai zenyewe.

Zinatumia kiwango kidogo sana cha umeme.

Zinauwezo mkubwa wa kuhifadhi joto kwa kipindi kirefu pindi umeme unapo katika hivyo mayai hayaharibiki.

Zinakuja zikiwa na warranty ya miaka miwili.

Zinamfumo wa kupima yai lenye mbegu

Zinauwezo wa kuangua vifaranga kwa asilimia 98.

Zimeundwa na material magumu (Hard board)hivyo hudumu muda mrefu hadi miaka15.

Hazishiki kutu wala kuoza.

Nirahisi sana kuzitumia kwa mfugaji yeyote yule.

KITU CHA ZIADA UTAKACHOPATA KWETU.

■Elimu buree ya kitaalamu ya ufugaji.
■Usimamizi wa mradi wako.
■Utafutiwaji wa masoko
■Mayai ya kutest mashine
■Nakama haitoshi tutakupa zawadi kemu kemu za vifaa vingine vya ufugaji Bureee.

Bei zetu ni nafuu mno tena zinaongeleka.

MACHINE TUTAKUTUMIA ULIPO KWA DAR TUNAILETA ULIPO SIKU MOJA UTAKAPOLIPIA FREE DELIVARY

UKINUNUA MACHINE KWETU
1. TUTAKUPA VITABU VYA MAFUNZO YA UFUGAJIBURE
2. TUTAKUPA ELIMU MBALIMALI PAMOJA NA ZA UJASILIA MALI BURE
3. TUTAKUTAFUTIA MASOKO YA BIDHAA ZAKO ZOZOTE BURE
4. TUTAKUUNGA NA MARAFIKI ZETU UFANYE BIASHARA ZAKO BURE

MAWASILIANO
0762212623
0785670227

allymaftah@camstore.co.tz
camstore@gmail.com
Screenshot_20240117_043359_Instagram.jpg
 

Attachments

Back
Top Bottom