Meshaki Richard
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 320
- 174
Karibu sana million moja na laki mbili na nusu tu (1250000) tu karibu sanash ngap moja
Kwa hapa dukani tunazoleta za kibiashara ndugu yangu ila ukihitaji ndogo hukosi hapa kariakoo karibu sana ukikosa basi unaweza ukaja dukani utaagiziwa karibu dukani mtaa wa masasiHakuna machine ndogondogo kwa matumizi binafsi ya nyumbani?kama zipo bei zake zipoje?
Napenda sana juice ya miwa napenda nitengenezewe nyumbani
Kiubora zipo vizuri sana mkubwa na ndio maana tunakupatia waranti ya mwaka mmoja kuonyesha ugumu uliopo mashine za strong tech karibu sanaNi mzuri sana kwa muonekano ila ubora wake sijajua kulinganisha na hizi za kubumba hapa bongo.
Karibu sana ndugu ujipatie mashine bora na imara zikiwa na waranti mwaka mmojaAsante sana kwa taarifa