Mashine za Kamari huenda zinakusanya taarifa kwa maslahi ya China

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
743
Reaction score
1,839
Mimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu.

Taarifa hizi hutumwa china kwa nyia ya simu na wachina wanaosimamia mashine hizo ama kwa kujua au kutokujua.

TISS kazi kwenu
 
Mimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu.

Taarifa hizi hutumwa china kwa nyia ya simu na wachina wanaosimamia mashine hizo ama kwa kujua au kutokujua
TISS kazi kwenu
Mchina size yake ni USA sio wewe
 
Iniside slot machine..
1. Speaker
2. Power supply
3. Motherboard..even week to decode..
4. Coin selector..
5. Few wirring
6. Twibij..for storage of coin..

Hiyo network ipo wap ndugu mwanazengo....hujui lolote kuhusu slot machine...
🤝
 
Mimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu.

Taarifa hizi hutumwa china kwa nyia ya simu na wachina wanaosimamia mashine hizo ama kwa kujua au kutokujua
TISS kazi kwenu
Taarifa gani inaweza kukusanya kwenye kuingiza mia mbili kwenye kile kitobo chake.
Acheni woga wa kijinga zile machine zinaibia masikini tu na zina maslahi na viongozi wetu haswa from TRA na GAMEBOARD
 
Mimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu.

Taarifa hizi hutumwa china kwa nyia ya simu na wachina wanaosimamia mashine hizo ama kwa kujua au kutokujua
TISS kazi kwenu
Taarifa zipi za maana kwenye Kamari? 🤣🤣
 
Katika vitu vya aibu kwenye nchi yetu ni kuruhusu hayo makorokocho kuingia BANDARINI kwetu. Kwamba wanasema wameleta nini? Yaani nashindwa kufikiri jinsi yalivyosambaa nchini. Bora wangeruhusu power tillers watu walimie
 
Ukiona Nchi zipo zile mashine za kutosha harafu sarafu yake ndio inachezewa jua kazi ipo hapo..
 
Back
Top Bottom