Mchina size yake ni USA sio weweMimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu.
Taarifa hizi hutumwa china kwa nyia ya simu na wachina wanaosimamia mashine hizo ama kwa kujua au kutokujua
TISS kazi kwenu
🤝Iniside slot machine..
1. Speaker
2. Power supply
3. Motherboard..even week to decode..
4. Coin selector..
5. Few wirring
6. Twibij..for storage of coin..
Hiyo network ipo wap ndugu mwanazengo....hujui lolote kuhusu slot machine...
Taarifa gani inaweza kukusanya kwenye kuingiza mia mbili kwenye kile kitobo chake.Mimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu.
Taarifa hizi hutumwa china kwa nyia ya simu na wachina wanaosimamia mashine hizo ama kwa kujua au kutokujua
TISS kazi kwenu
Kwanini dayaspora unampigia kampeni Gachagua?Join the movement
Taarifa zipi za maana kwenye Kamari? 🤣🤣Mimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu.
Taarifa hizi hutumwa china kwa nyia ya simu na wachina wanaosimamia mashine hizo ama kwa kujua au kutokujua
TISS kazi kwenu
Kuna maokotoKwanini dayaspora unampigia kampeni Gachagua?