Mashine za kuangulia vifaranga kwa bei ya promosheni

frank wa moyo

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
480
Reaction score
113
msungu engineer works dodoma mjini maili mbili
wapendendwa wajasiriamali jipatieni mashine za kuangulia vifaranga kwa bei nafuu
kama ifuatavyo
ya mayai 200- laki nane na nusu (850,000/=)
ya mayai 300-1,200,000/=
ya mayai 600- 2,000,000/=
ya mayai 1000-2,500,000/=
ya mayai 2500-5,000,000/=
zote ziko kwenye hali nzuri​

ukihitaji semina pia ni bure,
mawasiliano 0765442104
 
Je kuna uwezekano wa kupata mashine ambazo zinaweza kuangulia mayai chini ya 200? na kama ndio gharama yake ikoje?
 
inawezekana kabisa kupata mashine ya aina hiyo just tuwasiliane 0765442104
 
Hizi bei zako mbona kubwa sana kwa machine ambazo bado hazina brand name ili mtu utafute maoni ya watu waliozitumia kwa upana kabla hujanunua? Kwa mantiki hii hawa ni wanunuzi wa kwanza na inakuwa kama majaribio, ebu pitia machapisho humu na check bei za machine hizi tena zenye majina ulinganishe. Mara nyingine soko tunakosa kwasababiu ya bei zisizosahihi kulingana na soko la bidhaa. Ni ushauri tu.
 
Mkuu Mimi nlikua nahitaji moja ya mayai 200,ila naomba unipe majibu ya maswali yafuatayo,je mashine zenu ni imported au local made?pia performance yake ni % ngapi?nikitaka ku prove uliyosema hapa Upo tayari kunionyesha mteja mmoja then nkaongea nae?Mimi nipo moshi je hiyo mashine mtaniletea hadi nilipo kwa bei hiyo hiyo?

Majibu yamwage hapa ili members wengine wenye kuhitaji majibu wafaidi.

Na hayo tuu kiongozi.
 
Kachemka huyo tatizo letu wabongo hatutaki kufata taratibu za ufundi tunataka tu kuuza bila kufanyia majaribio product tunazo zalisha ili kujua kiwango chake nashauri tufanye uchunguzi ili kuwa na product bora tengenezeni mashine hata mkazitoa kwa bei ya promotion kwa watu wenye mashamba ya kuku ili muweze kujua makosa ya machine na kurekebisha ni wazo tu
 
kuna watu huku dodoma walishaanza kuzitumia na zinafanya kazi vema
 
Mkuu Mimi nlikua nahitaji moja ya mayai 200,ila naomba unipe majibu ya maswali yafuatayo,je mashine zenu ni imported au local made?pia performance yake ni % ngapi?nikitaka ku prove uliyosema hapa Upo tayari kunionyesha mteja mmoja then nkaongea nae?Mimi nipo moshi je hiyo mashine mtaniletea hadi nilipo kwa bei hiyo hiyo?

Majibu yamwage hapa ili members wengine wenye kuhitaji majibu wafaidi.

Na hayo tuu kiongozi.
mashine sio imported kama una mtu unayemwani hapa dodoma mtume awasiliane nasi kwa namba nilizoweka then mwenyewe atakuambia, sometimes tuamini vitu vinavyotengenezwa na wazawa
 
Kachemka huyo tatizo letu wabongo hatutaki kufata taratibu za ufundi tunataka tu kuuza bila kufanyia majaribio product tunazo zalisha ili kujua kiwango chake nashauri tufanye uchunguzi ili kuwa na product bora tengenezeni mashine hata mkazitoa kwa bei ya promotion kwa watu wenye mashamba ya kuku ili muweze kujua makosa ya machine na kurekebisha ni wazo tu
mpaka tangazo linakuja huku ni kwamba tumejiridhisha na ubora, ondoa wasiwasi mkuu
 
Hizi bei zako mbona kubwa sana kwa machine ambazo bado hazina brand name ili mtu utafute maoni ya watu waliozitumia kwa upana kabla hujanunua? Kwa mantiki hii hawa ni wanunuzi wa kwanza na inakuwa kama majaribio, ebu pitia machapisho humu na check bei za machine hizi tena zenye majina ulinganishe. Mara nyingine soko tunakosa kwasababiu ya bei zisizosahihi kulingana na soko la bidhaa. Ni ushauri tu.
noted mkuu
 
Back
Top Bottom