frank wa moyo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 480
- 113
ndio zipo tuwasiliane 0765442104je mnazo hatchers .... ?
yap unaweza pata nicheki kwa 0765442104Je kuna uwezekano wa kupata mashine ambazo zinaweza kuangulia mayai chini ya 200? na kama ndio gharama yake ikoje?
kuna watu huku dodoma walishaanza kuzitumia na zinafanya kazi vemaKachemka huyo tatizo letu wabongo hatutaki kufata taratibu za ufundi tunataka tu kuuza bila kufanyia majaribio product tunazo zalisha ili kujua kiwango chake nashauri tufanye uchunguzi ili kuwa na product bora tengenezeni mashine hata mkazitoa kwa bei ya promotion kwa watu wenye mashamba ya kuku ili muweze kujua makosa ya machine na kurekebisha ni wazo tu
kwenye biashara kuna bargaining power ya mteja piaPunguza bei utapata wateja wengi
mashine sio imported kama una mtu unayemwani hapa dodoma mtume awasiliane nasi kwa namba nilizoweka then mwenyewe atakuambia, sometimes tuamini vitu vinavyotengenezwa na wazawaMkuu Mimi nlikua nahitaji moja ya mayai 200,ila naomba unipe majibu ya maswali yafuatayo,je mashine zenu ni imported au local made?pia performance yake ni % ngapi?nikitaka ku prove uliyosema hapa Upo tayari kunionyesha mteja mmoja then nkaongea nae?Mimi nipo moshi je hiyo mashine mtaniletea hadi nilipo kwa bei hiyo hiyo?
Majibu yamwage hapa ili members wengine wenye kuhitaji majibu wafaidi.
Na hayo tuu kiongozi.
mpaka tangazo linakuja huku ni kwamba tumejiridhisha na ubora, ondoa wasiwasi mkuuKachemka huyo tatizo letu wabongo hatutaki kufata taratibu za ufundi tunataka tu kuuza bila kufanyia majaribio product tunazo zalisha ili kujua kiwango chake nashauri tufanye uchunguzi ili kuwa na product bora tengenezeni mashine hata mkazitoa kwa bei ya promotion kwa watu wenye mashamba ya kuku ili muweze kujua makosa ya machine na kurekebisha ni wazo tu
noted mkuuHizi bei zako mbona kubwa sana kwa machine ambazo bado hazina brand name ili mtu utafute maoni ya watu waliozitumia kwa upana kabla hujanunua? Kwa mantiki hii hawa ni wanunuzi wa kwanza na inakuwa kama majaribio, ebu pitia machapisho humu na check bei za machine hizi tena zenye majina ulinganishe. Mara nyingine soko tunakosa kwasababiu ya bei zisizosahihi kulingana na soko la bidhaa. Ni ushauri tu.