Mashine za kubetisha maarufu kama premierbet

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
539
Reaction score
637
Habar,
Ni matumaini yangu wazima wa afya wapi naweza kupatta mawasiliano na wahusika wa hizo mashine nataka niwe wakala wao mawasiliano plz jamani
Ni hayo tu mabibi na mabwana muwe na ijumaa njema
 
Zile za wachina utaki.ila kumbuka za wachina wakikuta umeliwa kwenye mashine zao hakuna pesa wanakupeleka polisi
 
Zile za wachina utaki.ila kumbuka za wachina wakikuta umeliwa kwenye mashine zao hakuna pesa wanakupeleka polisi
Nazo pia nahitaji naombeni connection!!
 
Ingia kwenye tovuti ya Gal sport andalia contact, wapigie waambie unahutaji mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…