INAUZWA Mashine za kuchuja maji chumvi

INAUZWA Mashine za kuchuja maji chumvi

Joined
Nov 8, 2018
Posts
3
Reaction score
5
Kwa mahitaji ya mashine za kusafisha maji kama kuondoa chumvi, magadi, iron harufu mbaya , kubalance PH ya maji , kuboost calcium na kuondoa chemical hatarishi kama arsenic acid wasiliana nasi tuna mifumo inayoweza kutumika majumbani, mashuleni,’colleges, taasisi binafsi na serikali mpaka viwandani.

Wasiliana nasi
[emoji336]+255675678365
[emoji336]+255784903865
Au Tuma email kezzsy@gmail.com
Instagram
@mashine_za_kuchuja_maji_chumvi

1bb83864-1d68-4d18-83c1-9f18647fe6d2.jpg

1b4d19ec-4448-439e-bd79-c4c8b6766ffc.jpg
 
Hayo yote uliyoandiks bila kuweka Bei Unaonekana Ni dalali hautapata muitikio chanya, Biashara siku hizi zinahitaji uwazi.
 
Kwa uzoefu wangu, Mashine hizi ni ngumu kupata bei ya moja kwa moja kutokana na variations zilizopo kwenye kila sample za maji kutoka underground, labda maji ya dawasco ndo bei yake zinakuaga moja kwa moja mara nyingi kwa matumizi ya kunywa nyumbani zinaenda kati ya laki 6 hadi 8..
Ila kwa mashine za miradi mfano shule au taasisi aandaa kuanzia milioni 8 kwenda huko juu
 
👍👍👍👍
 
hzo machine ni kuanzia milion 5 kupanda juu labda km ni maji ya dawasco km mchangiaj mmojawapo alivyosema.
Unless mleta uzi aje na majibu tofauti.
 
Kwa uzoefu wangu, Mashine hizi ni ngumu kupata bei ya moja kwa moja kutokana na variations zilizopo kwenye kila sample za maji kutoka underground, labda maji ya dawasco ndo bei yake zinakuaga moja kwa moja mara nyingi kwa matumizi ya kunywa nyumbani zinaenda kati ya laki 6 hadi 8..
Ila kwa mashine za miradi mfano shule au taasisi aandaa kuanzia milioni 8 kwenda huko juu
Milion nane ni ndoo moja au mbili?
 
Back
Top Bottom