Kanduru Rajabu Mpacha
New Member
- Nov 8, 2018
- 3
- 5
Hayo yote uliyoandiks bila kuweka Bei Unaonekana Ni dalali hautapata muitikio chanya, Biashara siku hizi zinahitaji uwazi.
Kwa uzoefu wangu, Mashine hizi ni ngumu kupata bei ya moja kwa moja kutokana na variations zilizopo kwenye kila sample za maji kutoka underground, labda maji ya dawasco ndo bei yake zinakuaga moja kwa moja mara nyingi kwa matumizi ya kunywa nyumbani zinaenda kati ya laki 6 hadi 8..Hayo yote uliyoandiks bila kuweka Bei Unaonekana Ni dalali hautapata muitikio chanya, Biashara siku hizi zinahitaji uwazi.
Kwa uzoefu wangu, Mashine hizi ni ngumu kupata bei ya moja kwa moja kutokana na variations zilizopo kwenye kila sample za maji kutoka underground, labda maji ya dawasco ndo bei yake zinakuaga moja kwa moja mara nyingi kwa matumizi ya kunywa nyumbani zinaenda kati ya laki 6 hadi 8..
Ila kwa mashine za miradi mfano shule au taasisi aandaa kuanzia milioni 8 kwenda huko juu
hzo machine ni kuanzia milion 5 kupanda juu labda km ni maji ya dawasco km mchangiaj mmojawapo alivyosema.
Unless mleta uzi aje na majibu tofauti.
Milion nane ni ndoo moja au mbili?Kwa uzoefu wangu, Mashine hizi ni ngumu kupata bei ya moja kwa moja kutokana na variations zilizopo kwenye kila sample za maji kutoka underground, labda maji ya dawasco ndo bei yake zinakuaga moja kwa moja mara nyingi kwa matumizi ya kunywa nyumbani zinaenda kati ya laki 6 hadi 8..
Ila kwa mashine za miradi mfano shule au taasisi aandaa kuanzia milioni 8 kwenda huko juu