wandugu,
naomba kuuliza kama mtu anataka kufanya biashara ya kuagiza na kuuza mashine za kukamua matunda, kuprocess mboga za majani, na kuprocess maziwa lakini katika small and medium scale atapata biashara? Kama atapata ni maeneo gani ya nchi?
Nashukuru kwa maoni yenu

Naamini watu wengi tu watapenda hii kitu ila kwa maoni yangu market area zitakuwa ni zile zenye uzalishaji mwingi wa matunda mfano Tabora (maembe) Tanga (matunda karibu aina zote) Mbeya pia kama Tanga.wandugu,