rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Ukijaribu kufikiri kua more than 20 people use the same shaving mashine kwa siku unapata picha ya kuambukizana magonjwa.
Kama sio yale makubwa basi ni mengine.
Ingawa wataalam wanasema kua sio hatarishi kiasi hicho lakini bado naona kuna matatizo unaweza pata, kama magonjwa ya ngozi na mengine mengi.
Tukiachana na hilo, kuna lile la towels wanazozitumia kutuoshea baada ya kunyoa, tatizo linakuja pale pale, nadhani sio healthy kushare towel moja zaidi ya mtu mmoja.
Hizo ni changamoto, wadau na wataalam mna semaje kuhusu hili..mimi nimeamua kununua mashine yangu binafsi nakwenda nayo saluni pindi nikitaka kunyoa...ndevu nashave mwenyewe nyumbani...wadau hii imekaaje..