Senfrey medical
New Member
- Mar 31, 2022
- 2
- 2
Asante boss karibu sanaNina ndugu yangu anasumbuliwa na shinikizo la damu nakutafuta ASAP
AsantehKwa wagonjwa wanaosumbuliwa na shinikizo la damu na kisukari tunauza mashine ambazo utaweza kuzitumia kupima mara kwa mara na kujua maendeleo yako.
Mashine ya sukari ina strips 25 za kuanzia kupimia...bei ni 50,000/=
Mashine ya pressure ina tumia batteries na charger ya umeme... bei 100,000/=
Karibuni sana
Call/WhatsApp+255684481600
Location: Mawasiliano Dar es salaamView attachment 2171620View attachment 2171622
ninayo OMRON TSH 150000/T
Asanteh
Tupe bei mkuu, Pia Huna BP Omron