BENEDICT ISEME
Member
- Jul 14, 2021
- 23
- 24
Mzee wangu pia anatumia hiyo mashine na sukari yake ipo in checkZinatoa matokeo sahihi? Maana zisiwe chini ya kiwango ukawaletea watu matatizo,mtu anapima anaona sukari ipo level kumbe ipo juu.
Hapana kiongozi, kwa sasa tupo Glucometera tu ila kwa baadae Tunategemea kuleta vifaa vingineZa kucheki gono na UTI unazo???
Utanshtua bossHapana kiongozi, kwa sasa tupo Glucometera tu ila kwa baadae Tunategemea kuleta vifaa vingine
Sawa bosi,Nitakuja kupata huduma.Mzee wangu pia anatumia hiyo mashine na sukari yake ipo in check
Karibu kiongoziSawa bosi,Nitakuja kupata huduma.