Mashine za kuprint mifuko ya mazao

Mashine za kuprint mifuko ya mazao

Bossprota

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
336
Reaction score
373
Habari wakubwa!!!
Nahtaji kujua bei ya mashine ya kuprint mifuko ya mazao kama Michele mpunga mahindi unga nk na mawasiliano kama Kuna Mtu anajua
 
Mimi ninayo nafanyia kazi kama unataka nikuagizie gharama ml 25 mpaka Tanzania unachukua mashine yako
 
Unataka rangi ngapi? Njoo PM tuyajenge. Tuna deal na mashine za Printing. Zingine tayari zipo warehouse hapa nchi zingine ni za kuagiza. If interested ni PM.
 
Back
Top Bottom