juniour12 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 407 Reaction score 375 Aug 5, 2015 #1 Habarini wakuu, Naomba nijuzwe wapi naweza pata mashine za kuranda na kuchana mbao pamoja bei zake. Mimi napatikana Dar na Dodoma.
Habarini wakuu, Naomba nijuzwe wapi naweza pata mashine za kuranda na kuchana mbao pamoja bei zake. Mimi napatikana Dar na Dodoma.
mbung'i Member Joined Jul 11, 2015 Posts 57 Reaction score 16 Aug 5, 2015 #2 Jarib SIDO mkuu.Wanaweza kukusaidia.Ukionana nao watakuchongea.Za hawa hamaa ni nzuri coz hata upatikanaji wa vipuri ni rahisi.
Jarib SIDO mkuu.Wanaweza kukusaidia.Ukionana nao watakuchongea.Za hawa hamaa ni nzuri coz hata upatikanaji wa vipuri ni rahisi.