Mashine za kuranda na kuchana mbao

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
375
Habarini wakuu,

Naomba nijuzwe wapi naweza pata mashine za kuranda na kuchana mbao pamoja bei zake.

Mimi napatikana Dar na Dodoma.
 
Jarib SIDO mkuu.Wanaweza kukusaidia.Ukionana nao watakuchongea.Za hawa hamaa ni nzuri coz hata upatikanaji wa vipuri ni rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…