Lugombo Nsesi
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 126
- 151
Wakuu naombeni mnipe taarifa kwa anaejua hizi mashine zinakouzwa.
Nipo dar nahitaji mashine ya size ya Kati kwa ajiri biashara ya kusindika unga wa sembe na Dona!
Nazitafuta ila wengi wamenipa taarifa tofauti kua zipo madukani, au VETA, au SIDO.
Naombeni kwa anayejua plzz...
Tupe bei mkuu wahitaji tupo wengi.View attachment 544008View attachment 544009 ni PM tuongee vitu vyote ninavyo full
Post sent using JamiiForums mobile app