INAUZWA Mashine za kusaga na kukoboa

Kijana Mpole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
235
Reaction score
212
Mjasiriamali unahitaji mashine za kusaga na kukoboa kwa bei ya kukujali na zikiwa imara zenye uwezo wa kukurudishia gharama zako tunazitengeneza 0688147644 TUPO TABATA

MSIMU HUO WA MAVUNO NDIO TUNAELEKEA WEKEZA KWENYE MASHINE ZA KUSAGA NA KUKOBOA

ORODHA YA BEI ZA MASHINE ZA KUSAGA NA KUKOBOA NA KUSAGA

MASHINE ZA KUSAGA

Kinu namba 50 ikiwa na uwezo wa kusaga
KG500 kwa saa gharama yake ni 2,800,000 ikiwa na Mota HP20

Kinu namba 75 ikiwa na uwezo wa kusaga
KG750 kwa saa gharama yake ni 3,750,000 ikiwa na Mota HP30

Kinu namba 100 ikiwa na uwezo kusaga
KG1000 kwa saa gharama yake 4,900,000 ikiwa na Mota HP40

MASHINE ZA KUKOBOA

Kinu rola mbili ikiwa na uwezo wa kukoboa
KG500 kwa saa gharama yake ni 2,800,000 ikiwa na mota HP20

Kinu rola tatu ikiwa na uwezo wa kukoboa
KG750 kwa saa gharama yake ni 3,750,000 ikiwa na mota HP30

Kinu rola nne ikiwa na uwezo wa kukoboa
KG1000 kwa saa gharama yake ni 4,900,000 ikiwa na mota HP40.

TUPIGIE/SMS/WHATSAPP
0688147644

 
Mashine za kusaga na kukoboa zikiwa na ubora unakaribishwa ujipatie uongeze kipato chako
 
Nikihitaji kinu cha kusaga rola tatu bila mota bie gani?
 
Ebu weka bei ya machine ya kusaga na kukoboa.... I mean multipurpose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…