INAUZWA Mashine za kusaga, Tofali, juisi ya miwa pitia hapa

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
Kama unahitaji kumiliki au kujua kiundani kuhusu mashine za kusaga hapa ni sehemu sahihi kwako.
¥Najidakia store Tunatengeneza na kuunda hizi mashine na sifa yetu kuu TUNAMTHAMINI MTEJA

Mashine za tofali zipo zifuatavyo.

Mashine ya mkono hii ni laki tano ni ngumu na imara.

Mashine ya tofali ya umeme hii million mbili na laki tano tofali moja. Na yenye kutoa tofali mbili hii million mbili na laki saba tu

Mashine za kusaga na kukoboa.

Mashine za kusaga hizi tunazitengeneza katika size tofauti.

Mashine ya kusaga namba 50 hii million mbili na laki sita ikiwa kamili kabisa.

Mashine ya kusaga namba 75 hii million.

0659567058
 
Mixer ya tofali hizi zipo mbili kuna yenye kuchanganya nusu mfuko hii million tatu na laki tano na yenye kuchanganya mfuko mzima million tano na laki tano
 
Mashine ya juice ya miwa yenye kibanda hii unahifadhi mpaka vitu vyako tunaitenegeneza kwa million mbili na laki tatu tu
 
Hizi mashini zinapatikana mkoa gani?
 
Machine za kusaga kuanzia million Mbili na laki sita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…