Habarin wana forum mi ni mkazi wa kigoma wilaya ya kasulu mjini kwa anayefahamu gharama ya mashine ya kusaga kwa kipindi hiki ipoje na kuhusu faida pamoja na hasara, na gharama za kuvuta umeme
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.