kasagama Member Joined Nov 6, 2016 Posts 21 Reaction score 31 Apr 19, 2022 #1 Habarin wana forum mi ni mkazi wa kigoma wilaya ya kasulu mjini kwa anayefahamu gharama ya mashine ya kusaga kwa kipindi hiki ipoje na kuhusu faida pamoja na hasara, na gharama za kuvuta umeme
Habarin wana forum mi ni mkazi wa kigoma wilaya ya kasulu mjini kwa anayefahamu gharama ya mashine ya kusaga kwa kipindi hiki ipoje na kuhusu faida pamoja na hasara, na gharama za kuvuta umeme
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 11, 2022 #2 Natumae mleta mada ulipata muongozo...