Mashine za kusagia nafaka

Mashine za kusagia nafaka

Edma falsafa

Member
Joined
Sep 25, 2019
Posts
41
Reaction score
22
Naomba kujua utaratibu wa mashine za kusaga mahindi kwa mwenye uzoefu. Naitaji kununua nini na nini, bei ya kila kitu kinachoitajika.

Kwa mwenye uzoefu hata mwenye uelewa pia.
 
Edma falsafa,

Usipate shida mkuu. Mimi nina kampuni ya kuuza vifaa vya kilimo zikiwemo mashine hizi za kuongeza thamani.
Nauza mashine za kukamua alizeti,kukoboa mchele n.k.

Turudi katika mada. Unahitaji kwa ajiri ya packaging au kusaga nafaka kawaida?

Kama unahitaji mashine ya kawaida basi utahitaji kinu cha kukoboa Roler moja ambacho kinavutwa na Mota 15HP.

Kama utahitaji packaging maana yake utahitaji mashine ya kusaga unga mwingi hivyo utahitaji kinu cha kukoboa cha Roler mbili ambacho kinavutwa na Mota ya 30HP.

Ushauri wangu kuna mashine za dukani na mashine za kuchonga kwa mafundi. Za dukani sio nzuri sababu wanatumia bati nyepesi sana hivyo hazidumu na mashine.

Mtafute fundi akuchongee kinu cha kusaga kwa bati ya Millimeters 4 au 5 kinu namba 30. Kama hutajali tuwasiliane naambatanisha mawasiliano ili uweze pata mashine nzuri kwa bei ndogo na ukuze kipato ndugu yangu.

Karibu sana
 
Attachments

  • Company address.jpg
    Company address.jpg
    11.6 KB · Views: 32
Edma falsafa,

Pia kama unahitaji kwa ajiri ya kusindika basi unatakiwa upate kinu kizuri cha kukoboa,cha roler 2 kitengenezwe na fundi mzoefu na mjuzi wa mashine. Vilevile upate kinu cha kusaga namba 30.

Fundi mzoefu atakusetia machine yako vizuri na kumpa ujuzi operator wako namna ya kupata unga mzuri iwe dona au sembe.kwa kufanya hivyo utapata unga wenye ubora ili kuendana na soko.

Mashine za kusaga unga siri yake ipo katika kuset chekecheo na operator. Ndio maana utakuta watu wengi wanafanya packaging lakini unga ni tofauti fairness/texture yake. Hiyo ni mbinu ya biashara nakupa.
 
Fundi mzoefu atakusetia machine yako vizuri na kumpa ujuzi operator wako namna ya kupata unga mzuri iwe dona au sembe.kwa kufanya hivyo utapata unga wenye ubora ili kuendana na soko. Mashine za kusaga unga siri yake ipo katika kuset chekecheo na operator. Ndio maana utakuta watu wengi wanafanya packaging lakini unga ni tofauti fairness/texture yake. Hiyo ni mbinu ya biashara nakupa.
Mkuu ishu sio chekecheo tu? Maana wengine wanaweka size kubwa kweli. Ukiweka zile namba ndogo sijui ndo namba 1 unga unatoka soft!..operator hapa anahusikaje mkuu hebu nidadavulie!
 
Mkuu ishu sio chekecheo tu? Maana wengine wanaweka size kubwa kweli ..ukiweka zile namba ndogo sijui ndo namba 1 unga unatoka soft!..operator hapa anahusikaje mkuu hebu nidadavulie!

Boss ipo hivi. Mashine inaendeshwa na operator/msagaji. Oparator ndiye nahodha wa chombo.Ndio maana mashine hasa za vijijini akiondoka oparatoŕ/msagaji akija mwingine utasikia "Joni anatoa chenga au anaiba unga,unga mweusi,hauivi,unachenga" ishu sio wizi ni umahiri wa oparator.

Kitaalam,Ubora wa unga wa mahindi unaanzia pale oparator anapoweka maji. Zipo mashine oparator ndie anaweka maji,oparator mjuzi hawezi kubali wewe uweke maji ataweka yeye. Yale maji yanakazi yake na yana kipimo chake ndiyo yanafanya mchawi wa unga/kapi litoke lote au libaki katika mahindi.

Pili katika kinu cha kukoboa chini ya "feeder" kuna "keys" ya kuruhusu mahindi kuingia katika chemba na key ya kuruhusu mahindi yatoke katika chemba ambazo kama mashine inafanya kazi utaona operator anacheza na hiyo keys,anakuwa kama anazibalance huku anashika mahindi yanayotoa wakati mwingine anayarudia pale anacheza na kisu na wembe kuhakikisha mbegu inalivua ganda/mchawi vizuri kwa ajiri ya kusagwa.

Kisu na wembe visipo menya lile ganda vizuri hata usage vipi utakula chenga tuu na ugali utasikia wakina mama kesho wamerudi kuleta feedback ya ugali kimeo.

Maana lile ganda lisipotoka lote likiingizwa kwenye kinu cha kusaga halisagiki linapenya kwenye chekecheo na hua halipenyi peke yake linapenya particles za mhindi hivyo kutengeneza chenga labda arudie sana unga napo kwa mbinde. Akirudia sana umeme hawezi kukubali hasara.

Chekecheo iwe B22 na M22 kama ganda la plastiki litabaki kwa kiasi kikubwa katika mahindi baada ya kukobolewa ndio mchawi wa unga,ukiruhusu liingie kwenye kinu cha kusaga linapenya kwenye chekecheo yeyote na likitoka linapulizwa na feni linatoka pamoja na unga likiwa na particles ambazo zinaitwa chenga na linaathari kuanzia kwenye unga/texture mpaka tumbo la mlaji.

Pia kwa nyongeza. Kazi ya kukoboa ni kutoa hilo ganda la plastiki/kapi lipo nje ya mhindi na kazi ya kusaga ni kusaga ni kusaga kile kinachobaki.

Oparator mzuri akibaini bado ganda hilo halijaisha atarudia mahindi na akiona bado atakwambia upepete hayo mahindi kutoa huyo mchawi wa unga.

Mashine nzuri ni ile inayoweza kutoa hilo ganda vizuri. Kusaga dona ni kutoa hilo ganda na kubakiza kiini tete,kusaga sembe ni kutoa kapi na kiini tete. Sasa watu wengi wanafikiri kusaga dona ni kusaga na hilo ganda/kapi kitu ambacho sio sahihi na hatari kwa afya. Hilo ganda halisagiki hata tumboni?

Dona ni unga ulio na kiini tete sio kapi au ganda au mchawi. Ukitaka upate dona nunua unga uliosagwa na mashine ya kisasa/hummer mill ambayo inaweza kutoa kapi na kubakiza kiini tete.
 
Mkuu uko vyema sana, gharama za hizi mashine ni kiasi gani?
Boss ipo hivi. Mashine inaendeshwa na operator/msagaji. Oparator ndiye nahodha wa chombo.Ndio maana mashine hasa za vijijini akiondoka oparatoŕ/msagaji akija mwingine utasikia "Joni anatoa chenga au anaiba unga,unga mweusi,hauivi,unachenga" ishu sio wizi ni umahiri wa oparator.

Kitaalam,Ubora wa unga wa mahindi unaanzia pale oparator anapoweka maji. Zipo mashine oparator ndie anaweka maji,oparator mjuzi hawezi kubali wewe uweke maji ataweka yeye. Yale maji yanakazi yake na yana kipimo chake ndiyo yanafanya mchawi wa unga/kapi litoke lote au libaki katika mahindi.

Pili katika kinu cha kukoboa chini ya "feeder" kuna "keys" ya kuruhusu mahindi kuingia katika chemba na key ya kuruhusu mahindi yatoke katika chemba ambazo kama mashine inafanya kazi utaona operator anacheza na hiyo keys,anakuwa kama anazibalance huku anashika mahindi yanayotoa wakati mwingine anayarudia pale anacheza na kisu na wembe kuhakikisha mbegu inalivua ganda/mchawi vizuri kwa ajiri ya kusagwa.
Kisu na wembe visipo menya lile ganda vizuri hata usage vipi utakula chenga tuu na ugali utasikia wakina mama kesho wamerudi kuleta feedback ya ugali kimeo.
Maana lile ganda lisipotoka lote likiingizwa kwenye kinu cha kusaga halisagiki linapenya kwenye chekecheo na hua halipenyi peke yake linapenya particles za mhindi hivyo kutengeneza chenga labda arudie sana unga napo kwa mbinde. Akirudia sana umeme hawezi kukubali hasara.

Chekecheo iwe B22 na M22 kama ganda la plastiki litabaki kwa kiasi kikubwa katika mahindi baada ya kukobolewa ndio mchawi wa unga,ukiruhusu liingie kwenye kinu cha kusaga linapenya kwenye chekecheo yeyote na likitoka linapulizwa na feni linatoka pamoja na unga likiwa na particles ambazo zinaitwa chenga na linaathari kuanzia kwenye unga/texture mpaka tumbo la mlaji.

Pia kwa nyongeza. Kazi ya kukoboa ni kutoa hilo ganda la plastiki/kapi lipo nje ya mhindi na kazi ya kusaga ni kusaga ni kusaga kile kinachobaki.
Oparator mzuri akibaini bado ganda hilo halijaisha atarudia mahindi na akiona bado atakwambia upepete hayo mahindi kutoa huyo mchawi wa unga.

Mashine nzuri ni ile inayoweza kutoa hilo ganda vizuri. Kusaga dona ni kutoa hilo ganda na kubakiza kiini tete,kusaga sembe ni kutoa kapi na kiini tete. Sasa watu wengi wanafikiri kusaga dona ni kusaga na hilo ganda/kapi kitu ambacho sio sahihi na hatari kwa afya. Hilo ganda halisagiki hata tumboni? Dona ni unga ulio na kiini tete sio kapi au ganda au mchawi. Ukitaka upate dona nunua unga uliosagwa na mashine ya kisasa/hummer mill ambayo inaweza kutoa kapi na kubakiza kiini tete.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha mbali..umedadavua vyema sana!
 
Edma falsafa,

Usipate shida mkuu. Mimi nina kampuni ya kuuza vifaa vya kilimo zikiwemo mashine hizi za kuongeza thamani.
Nauza mashine za kukamua alizeti,kukoboa mchele n.k.

Turudi katika mada. Unahitaji kwa ajiri ya packaging au kusaga nafaka kawaida?

Kama unahitaji mashine ya kawaida basi utahitaji kinu cha kukoboa Roler moja ambacho kinavutwa na Mota 15HP.

Kama utahitaji packaging maana yake utahitaji mashine ya kusaga unga mwingi hivyo utahitaji kinu cha kukoboa cha Roler mbili ambacho kinavutwa na Mota ya 30HP.

Ushauri wangu kuna mashine za dukani na mashine za kuchonga kwa mafundi. Za dukani sio nzuri sababu wanatumia bati nyepesi sana hivyo hazidumu na mashine.

Mtafute fundi akuchongee kinu cha kusaga kwa bati ya Millimeters 4 au 5 kinu namba 30. Kama hutajali tuwasiliane naambatanisha mawasiliano ili uweze pata mashine nzuri kwa bei ndogo na ukuze kipato ndugu yangu.

Karibu sana
naomba kujua,si rola na mota zinauzwa pembeni???
manake mi ni mgeni ila nimevutiwa kabisa kufanya hii biashara.

nataka ya kusaga mahindi kwaajili ya unga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edma falsafa,

Pia kama unahitaji kwa ajiri ya kusindika basi unatakiwa upate kinu kizuri cha kukoboa,cha roler 2 kitengenezwe na fundi mzoefu na mjuzi wa mashine. Vilevile upate kinu cha kusaga namba 30.

Fundi mzoefu atakusetia machine yako vizuri na kumpa ujuzi operator wako namna ya kupata unga mzuri iwe dona au sembe.kwa kufanya hivyo utapata unga wenye ubora ili kuendana na soko.

Mashine za kusaga unga siri yake ipo katika kuset chekecheo na operator. Ndio maana utakuta watu wengi wanafanya packaging lakini unga ni tofauti fairness/texture yake. Hiyo ni mbinu ya biashara nakupa.
asante sana mkuu,huu ndio ushauri wa faida kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom