Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Kiongoz Mambo vipi! Naomba uniunganishe na hao wadau wako waliopo China!
 
Habari wakuu nina incubator yangu imekufa kwenye hiyo sehemu ya controller , nauliza kama vinapatikana vingine vya kureplace tanzania hii ...au ndio nihesabu imeisha nifia moja kwa moja
 
kwa uzoefu wangu machine nyingi zinazngua na kulea kifaranga hadi kifike 3 weeks bonge la noma
 
Habari za majukumu,
Mimi pia nakaribua kujitosa katika ufugaji si muda,ila nina swali,nalo ni nili hii incubarator hutumia siku ngapi kawaida hadi kutotoa tayari?
 
Naomba jawabu. Nafuga kuku wa kienyeji. Kuna kuku kataga mayai 10, baada ya kutaga alianza kuyaatamia. Kaatamia karibia wiki mbili tu halafu kaacha kuatamia hayo mayai. Tatizo nin?
 
Mimi ninauza incubator kutoka ujerumani za mayai 96 automatic

Napatikana Tanga
Watsap 0678949993
 
Natamani kufuga kuku wa kienyeji, shida yangu ni mashine ya kutotoleshea vifaranga itumiayo mafuta ya taa. Zinapatikana wapi na kwa bei gani? Wadau nisaidieni ili nami nijaribu kwenda sambamba na hii KASI ZAIDI
Mbona vifaranga wa kuku wa kienyeji wapo tu wakutosha, kwanini uhangaike na kitotoleshi?, unao utaalam wa kusimamia utotoleshaji?, . Nikupe uzoefu wa bure: wako watu wengi wenye hizo incubator na hawazitumii kwa kuwa kuisimamia inahitaji darasa la kutosha
 
Pia za Italy n nzuri sana
 
Nina kuku makoo 5 na jogoo wawili ila nina plan ya kununua incubator ili niweze kuongeza uzao kwa haraka na uhakika maana kuna kipindi walitaga mayai mengi ila wakayatotoa machache, je kuna kununua incubator kunaweza kutatua tatizo na kufikia lengo kwa haraka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…