Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Mawenzi asante kwa ufahamisho, nimewasiliana na Dr Singa akanieleza kuwa anazo mashine hizo, nafanya mipangilio nimwendee. Shukrani mkuu
Vipi maendeleo ya mradi wako? Kama unaendela Unatotolesha pia wa mayai?
NtakuPM muda wowote Kamanda kwa maongezi zaidi!
Thankx!
View attachment 58855machine ya kusagia chakula cha kuku
capacity 100 kg bei 2 million
incubator ya capacity ya mayai 1056
ni automatic kwa 2 million
incubator ya capacity 264
kwa 1.2 million
incubator ya capacity ya mayai 176
ni 1 million
na zinachukua mayai ya aina yoyote
incubator zote ni CE APPROVED
na ni automatic multifunctuon
serious buyer only picha zinaapatikana
only email kamkumbe@gmail.com
Thanks Chasha Alibaba niliisha google siku nyingi nikapata suppliers kibao na wananikumbusha kila leo ila napata kigugumizi kuwaamini itanifikiaje hiyo mashine yao, umeishawai kufnay biashara nao. Mimi ninahitaji ingawa kuanzia sio kubwa hata ya mayai 200 kwa matumizi binafsiMkuu kwa China zinapatikana kwa Bei nzuri kabisa, za hapa Bongo hazifai kabisa ni kujitakia Presha, Ila bei inategemeana google alibaba utapata kila kitu,
Chasha mlishauri kuepukana na incubator za kerosine za watengenezaji wa bongo, hivi hizi za umeme kwa back up ya generator kaka garama yake italipa kweli! Maana umeme wa bongo sometimez ni kama hakuna kitu, mnafanyaje wakubwa? Kwa generator inalipa maana no way lazima uwe na back up power source! Labda option ya gesi inanipa matumaini kidogo!
Mkuu kwa China zinapatikana kwa Bei nzuri kabisa, za hapa Bongo hazifai kabisa ni kujitakia Presha, Ila bei inategemeana google alibaba utapata kila kitu,