E emike JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 345 Reaction score 108 Nov 28, 2011 #1 salaam wana jf je ni wapi naweza pata mashine za mbao za biashara ie.ya kuchania na kurandia zinazomiliki vishindo na kazi nzito, natanguliza shukrani zangu
salaam wana jf je ni wapi naweza pata mashine za mbao za biashara ie.ya kuchania na kurandia zinazomiliki vishindo na kazi nzito, natanguliza shukrani zangu
S saq JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 268 Reaction score 12 Dec 4, 2011 #2 salaams... PM me !