MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Dalali HuyoBei unapiga hiyo namba.
Anaweka na cha juuDalali Huyo
Kama Hawezi Kuweka Bei Haa
Lakini Picture Kaweza
Hiyo EPSON pembeni ya vikombe ipo sokoni?Bei unapiga hiyo namba.
Wewe wasema. Hakuna udalali wowote hapo. Au njoo DMDalali Huyo
Kama Hawezi Kuweka Bei Haa
Lakini Picture Kaweza
Hakuna cha juu. Piga simu au njoo DMAnaweka na cha juu
Ndiyo.Hiyo EPSON pembeni ya vikombe ipo sokoni?
Epson L805Hiyo EPSON pembeni ya vikombe ipo sokoni?
Kama Umeshindwa Kuweka Bei Hadharani Ndiyo Kila Mtu Akupigie Ama Aje DM. Ndiyo Tunaousema Dalali, Mwenye Biashara Isiyo Na Makandokando AnajiaminiWewe wasema. Hakuna udalali wowote hapo. Au njoo DM
Well saidUkiona mtu haweki bei hadharani jua tapeli ama dalali... sellers wakubwa wote duniani wanaweka bei .. cheki be foward bei anaweka mtandaoni, cheki amazon? Aliexpress kote huko bei inawekwa wazi mapema... hakuna mambo ya piga simu
Bila Shaka Huyu Ataliza Watu Sasa HiviUkiona mtu haweki bei hadharani jua tapeli ama dalali... sellers wakubwa wote duniani wanaweka bei .. cheki be foward bei anaweka mtandaoni, cheki amazon? Aliexpress kote huko bei inawekwa wazi mapema... hakuna mambo ya piga simu
HapanaBila Shaka Huyu Ataliza Watu Sasa Hivi
Bei nimeshaweka tayariUkiona mtu haweki bei hadharani jua tapeli ama dalali... sellers wakubwa wote duniani wanaweka bei .. cheki be foward bei anaweka mtandaoni, cheki amazon? Aliexpress kote huko bei inawekwa wazi mapema... hakuna mambo ya piga simu